Mwambie mkuu, mwambie watu tumechezea vifuu na maji hayohayo ya tope na sasa tuna wajukuu maji ni yale yale, hawakukunjwa mapema wamezoa sasa ukilaum ni Sawa na unawaonea maana wamerithishwa na waliotangulia na wao wanaendelea kujiridhisha uozo wa Uongozi. Huu mkoa ninaoishi sasa maji hayana tope kabisa