Mi nadhani wakiwa wanafanya marekebisho sehemu lile bomba linaliendelea huwa hawalizibi vizuri hivyo yale machafu ya sehemu wanayofanyia kazi huenda yanaingia bombani.
DAWASCO ni changamoto. Lile shirika likipata mtu makini linaweza kuwa linazalisha kuliko hata bandari au TANESCO simply sababu kila mtu anatumia maji yao yaani biashara yao ni straight forward
Rais angeangalia kuliboresha kwa kuvunja safu ya uongozi