Edward A Chapa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 973 Reaction score 1,394 Jan 31, 2015 #1 Habari wanna body! Leo ni siku ya kumi maji hayatoki huku mtaani kwetu mabibo maji yamekuwa ya shida sana watu wanakunywa maji ya kisima ya chumvi! Je maji ya bomba hapo ulipo mtaani kwenu yapo nielekeze nije kuchota, Maana ni shida huku tulipo!
Habari wanna body! Leo ni siku ya kumi maji hayatoki huku mtaani kwetu mabibo maji yamekuwa ya shida sana watu wanakunywa maji ya kisima ya chumvi! Je maji ya bomba hapo ulipo mtaani kwenu yapo nielekeze nije kuchota, Maana ni shida huku tulipo!
M majeshii Member Joined Dec 4, 2014 Posts 83 Reaction score 12 Jan 31, 2015 #2 Yapo mengi tu njoo uchukue hapa kimala balut
sijui nini JF-Expert Member Joined Sep 29, 2010 Posts 2,553 Reaction score 1,292 Jan 31, 2015 #3 Pole sana bro asikitika kusikia hivyo kwasababu mimi niko lringa na maji huku tunashukuru yanapatikana
Pole sana bro asikitika kusikia hivyo kwasababu mimi niko lringa na maji huku tunashukuru yanapatikana
K KIFUSO JF-Expert Member Joined Feb 7, 2014 Posts 276 Reaction score 87 Jan 31, 2015 #4 maji ni ttzo si dsm pekee yake ni tz nzima,nakumbuka niliwah kununua ndoo sh,500 nikiwa dsm mwaka 2002
maji ni ttzo si dsm pekee yake ni tz nzima,nakumbuka niliwah kununua ndoo sh,500 nikiwa dsm mwaka 2002