Tatizo la maji ni janga la kitaifa. Wananchi wasimame kutetea haki zao. Hawa viongoz watakuja kuomba kura yako na kusema wamekuletea maji mwisho wa mwaka huu. Fanya uamuzi wa busara. Tumechoka kudanganywa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.