Maji safi na salama

Maji safi na salama

Baba Ilhaam

Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
25
Reaction score
4
Habari wakuu!
Poleni kwa majukumu mbalimbali!
Niko ubungo Dar es Salaam!
Nilikuwa naomba kujuzwa wapi naweza pata maji safi na salama kwa matumizi ya nyumbani(si yale ya akina bakhresa) na itakuwa bora kama itakuwa anafanya kusambaza!!
Natanguliza shukraan
 
Back
Top Bottom