Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,331
- 33,141
@FirstLady1 Ninakutakia afyaa njemaThanks MziziMkavu
Najitahidi sana kunywa maji lita 3-4 kwa siku na ni kweli imenisaidia
Zamani nilikuwa na tatizo la kuumwa sana kichwa lakini tangu DR aliponishauri tiba ya maji
Sasa kichwa naweza kuumwa Mala moja kwa miezi sita tena nikiwa na Fatique or msongo wa mawazo
Ingawa zamani ugonjwa wangu ulikuwa kichwa
Be blessed .
@Cantalisia ninakutakia afya njema endelea kunywa maji usiache hata kidogo.Asante sana kaka,
Nashukuru mie ni mnywaji mzuri wa maji lita 3 kwa siku,
Na tangu nilipoanza utaratibu huu nimeuzoea na vihoma vya ajabu ajabu sivipati tena!
@tz1 Ndio Watu wanywe sana Maji kwa afya zao.MziziMkavu.Kama tunavyo ambiwa 70% ya uzito wa mtu ni maji.
Hapo ina changanya,mi nilifikiri tungeongeza uzito kwa kunywa mengi badala ya kupunguza.
@Kifulambute Mkuu utakuwa huna afya nzuri na ukiumwa itakuwa ni hatari jaribu kunywa sana maji itakufanya uwe na afya nzuri mkuu jitahidi kunywa sana maji kwa afya yako.dah bonge la shule sasa mimi ninaekunywa Robo glass baada ya siku tatu itakuwaje?
@paja nono Ndio vizuri inasaidia kusafisha kwenye Figo inaonekana Figo lako mkuu linafanya kazi vizuri endelea kunywa maji kwa wingi na wala usiogope.Mi mwenzenu nahisi nina tatizo!!, kila ninapojitahidi kunywa maji mengi ndio ninapokwenda kutoa haja ndogo (kukojoa) kila mara. hivi ni kitu gani kinasababisha hali hii? au ndio inavyokua kwa watu wengine?