Maji Mwanalugali wilayani Kibaha ni tatizo

Maji Mwanalugali wilayani Kibaha ni tatizo

king davido

Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
5
Reaction score
2
Kibaha Mwanalugali hatuna Maji ya bomba, wanafunzi shule ya sekondari Mwanalugali pamoja na wananchi wenzangu wanachota Maji ya mto Mpiji. Unachimba shimo maji yatoke ndo uchote ni machafu sana tunapata shida watoto wanaharisha mno.
 
Watoto wanaharisha au ninyi wenyewe wakubwa

Yaleyale ,ukijamba mkubwa kajamba mtoto uliyenae karibu au BOBi
 
Ingia mtandaoni tafuta nambari ya Waziri husika au naibu. Kwa awamu hii ukisema ufuate taratibu ngazi kwa ngazi ni mazoezi tu unafanya kijana. Jiamini mtafute naibu au katibu zungumza nae kijana.

Kwanza watakuona kijana makini sana!
 
Nadhani jamiforum kuna viongozi wanasoma na kuzifatilia mada zinazotolewa humu sema tu kuna vichaa wachache wenye utoto ndani yao panaonekana hapawezi tatua hoja tulizo nazo kama vijana na WaTanzania kwa ujumla.Asante
 
Hehehe! Watu wanahojiwa na vyombo vya habari na video zinachukuliwa kuonesha hali halisi ya eneo husika au maoni kuhusu mada husika na taarifa inarushwa hewani na viongozi wanaona na wanawapotezeeni vilevile, sembuse Jamii Forums?! 😀😅😅😅

Subiri ule wa chuya
 
Back
Top Bottom