Mfukutuzi
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 239
- 175
Miezi kadhaa sasa "maeneo mengi" ya Dodoma Maji yamekuwa shida kubwa. Hayatabiriki. Yanatoka siku 3 yanapotea wiki 3.
DUWASA mmepatwa na nini? Kwa nini hamtoi tahadhari wala maelezo yoyote kwa wateja wenu.
Au population imezidi uwezo wenu wa kutoa huduma?? Ni maswali ambayo wateja wanauliza na kujiuliza ila watoa majibu mpo kimya kama hamuoni kinachendelea.