Maji bado tatizo viunga vya dar

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957






Wauza maji wakiwa na mikokoteni yao maeneo ya Kimara Mwisho.


Mikokoteni ya maji ikiwa imepakiwa kijiweni, eneo la Kinondoni, Manyanya.




Vijana wakiwa na mikokoteni ya maji maeneo ya Ubongo.





Mikokoteni ya maji ikiwa maeneo ya Makumbusho.
​

KAMERA ya GPL
imefanikiwa kuzunguka katika baadhi ya viunga vya Jiji la Dar es Salaam na kubaini huduma ya maji safi na salama bado ni tatizo, kutokana na kuwepo kwa vijiwe vingi vya kuuzia maji japokuwa ni moja ya ajira kwa vijana walio wengi.


(Picha/Habari na Gabriel Ng’osha/GPL)
​
 

Attachments

  • 2.jpg
    48.2 KB · Views: 275
  • 4.jpg
    46.3 KB · Views: 265
  • 7.jpg
    59.8 KB · Views: 287
Ule mfumo uliokuja kuwekwa na bachaina ulifeli kwa kiwango kikubwa mno yani badala ya kutatua tatizo ndio limeongezeka
Lakini cha ajabu huko masaki na mikocheni kuna watu wanatumia maji haya Hays kunyweshea maua tena yana pressure kubwa tu na mara nyingi utakuta bomba halijafungwa linatiririsha maji tu bila kujali kuna watu wanayatafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…