Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,275
😂😂😂😂😂😂😂Kwa hiyo na wewe bwana ako mwanajeshi?
Jeshini watu wa hovyo ulevi, pombe, sigara, ngono , bangi, milungi, rushwa iliyotukuka , matumizi ya nguvu bila weredi.Mwanadada ambae una ndoto za kuolewa na mtu mwenye sifa zote za mwanaume....Nakushauri waamini hawa askari!
Ni shupavu, wanajitambua, hawasusi ovyo, pia wanaaminika na serikali kwa 100% sasa wewe kwanini usiwaamini?
Ila ukitaka mwanaume mtakae shindana kupaka poda, make up, kuvaa hereni na urembo wote...chagua huko kwengine!
Na 100% majeshini hakuna wanaume wenye sifa za ushoga.
Kijana yoyote wa kiume aliyepita mafunzo ya kijeshi ana uweledi mkubwa sana wa maisha, yaani hata kuangusha wewe mkewake hata watoto wako!
Nimetoa ushauri tu.....
NB: mtoa somo sio lazima nae alifaulu
Sawa mke wa askarMwanadada ambae una ndoto za kuolewa na mtu mwenye sifa zote za mwanaume....Nakushauri waamini hawa askari!
Ni shupavu, wanajitambua, hawasusi ovyo, pia wanaaminika na serikali kwa 100% sasa wewe kwanini usiwaamini?
Ila ukitaka mwanaume mtakae shindana kupaka poda, make up, kuvaa hereni na urembo wote...chagua huko kwengine!
Na 100% majeshini hakuna wanaume wenye sifa za ushoga.
Kijana yoyote wa kiume aliyepita mafunzo ya kijeshi ana uweledi mkubwa sana wa maisha, yaani hata kuangusha wewe mkewake hata watoto wako!
Nimetoa ushauri tu.....
NB: mtoa somo sio lazima nae alifaulu
Mwanadada ambae una ndoto za kuolewa na mtu mwenye sifa zote za mwanaume....Nakushauri waamini hawa askari!
Ni shupavu, wanajitambua, hawasusi ovyo, pia wanaaminika na serikali kwa 100% sasa wewe kwanini usiwaamini?
Ila ukitaka mwanaume mtakae shindana kupaka poda, make up, kuvaa hereni na urembo wote...chagua huko kwengine!
Na 100% majeshini hakuna wanaume wenye sifa za ushoga.
Kijana yoyote wa kiume aliyepita mafunzo ya kijeshi ana uweledi mkubwa sana wa maisha, yaani hata kuangusha wewe mkewake hata watoto wako!
Nimetoa ushauri tu.....
NB: mtoa somo sio lazima nae alifaulu
Yap, sio askari wote wako sawa kuna wengine ni wapuuzi balaa yani kuna mwingine mpaka alikuwa anafatwa kwake hajaenda chuma usiku wanamfata chapombe nomaSisi tuliokulia makambini, Tunajua Kuna wajeda malofa mpaka utashangaa huyu kapataje uaskari.
Akili za kuambiwa ongeza na za kwako Nilikua na kibanda kange na kulikuaga na mwanajeshi mmoja hivi alikua anapenda kuja na kushinda sana pale..sasa siku moja ikapotea flash kumuuliza akakataa baada ya kupita siku kadhaa akaileta ebana nilimvutia ndani nikampa za faster..
Ebu fikiria mwanajeshi gani anapigwa na muuza memory..maana yake hata jeshini maboya wapo tu...
Nakwambia hivii mijitu ya hovyo ni ya kutoka jeshini wengi tu hawana hata marinda usiogope wanavyovunja tofali kwa kichwa, wali nazi tu wale tunawala bila kijiko kwa mkono tu kama wali msibani. Tafakari chukua hatua.