Wanajamvi, nipo mwanza natokea Tanga kwa matembezi....etc katika pitapita.....nikaona magorofa 5 yenye heshma..mwenyeji wangu kadai
Wakazi wa mwanza wamestushwa na kasi ya uotaji magorofa 5 ya shule moja ya binafsi, maeneo ya buhongwa mkoani mwanza, zinadaiwa kuwa na za aliyekuwa mkuu wa wizara ya ardhi, kama ni kweli basi escro imeleta heshima kubwa mwanza.