Majengo ya Ajabu

Bingwaman

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2010
Posts
548
Reaction score
288
​The Crooked House (Sopot, Poland)





Kansas City Library (Missouri, USA)





Dancing Building (Prague, Czech Republic)





Casa do Comércio, Salvador, Bahia, Brazil
 
aisee dah ngoja mnitafute mume mzungu nitoke mie...hawa wa bongo hata border namanga hupelekwi
 
Ni ubunifu...kikubwa kusiwe na uchakachuaji kama wa kwetu maana ku collapse kuko nje nje
 
Vipi ule wa kwetu ulioporomoka...nahisi nao ulikuwa wa ajabu ule atii!!
 
watu8 pamoja na ule wenye nyufa unaweza kuingia kwenye list hapo
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ya sopot nimeipenda zaidi. Inafanana na vijumba vya cartoons
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…