Majasusi 6 wa Mossad wahukumiwa kifo Gaza

Endeleeni kuwashobokea wanaomkana mungu wenu/yesu, na ukristo hawautambui
hata wakimkataa Yesu, sisi haitudhuru, hatuwatii au kuwaabudu wao, tunaabudu Mungu wao (Mungu wa Israel, Isaka na Yakobo, yaani Mungu wa Ibrahim), Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo alimwahidi Ibrahimu kwamba, atakayeubariki na yeye atambariti, atakayemlaani atalaaniwa, baraka za ibrahim zinaenda kwa mkondo wa Isaka, sio Ishmael wa waarabu. kwahiyo tunamtii Mungu kwa kutowalaani bali kuwapenda hata kama wao wangetuchukia.
 
ati mahakama ya kijeshi, kuna jeshi Gaza au kikundi cha magaidi? kuna utawala wa sheria Gaza? hivi hata siku moja mnafikiri mtakuja kuishinda Israel? never.
Nenda ww huko gaza alaf usifuate sheria zao uone utavyotolewa puru lako kmmko
 
Back
Top Bottom