Jinsi huyu mongela anavyofanya kwa wachaga wenzangu na kuwatukana ndani ya vikao tumempa muda tu ndio atajua vitendo vyake vya ukabila wanaccm tumechoshwa navyo,huwezi lazima mtu kuipenda ccm kwa uchochezi wa ukabila bali sera madhubuti na kwa hoja nzuri,na kila mchaga au mpare ana uhalali wa kupenda kile anachoona kinamfaa kama mimi nilivyoichagua ccm