Majaribio ya website

Majaribio ya website

quantumQ

Senior Member
Joined
Dec 11, 2013
Posts
112
Reaction score
85
Baada ya kupata somo la kutengeneza website hapa jamii forum, nilijaribu kutengeneza website rahisi na kui host. Jamani wadau naombeni mtembelee hiyo site halafu mjaribishe muone jinsi inavyofanya kazi pia mtoe maoni yenu.

Link ni Tips and Tricks
 
quantumQ
Tengeneza site yakawaida sio forum.
For begining kama unataka kutengeneza forum tumia software zipo kibao tu kama MyBB, phBB n.k lakini coding from scratch itakusumbua sana.

Tengeneza site yakawaida then tuifanyie review hapa.
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kupata somo la kutengeneza website hapa jamii forum, nilijaribu kutengeneza website rahisi na kui host. Jamani wadau naombeni mtembelee hiyo site halafu mjaribishe muone jinsi inavyofanya kazi pia mtoe maoni yenu.

Link ni Tips and Tricks
safi mwanzo mzuri
 
Hongera..mana hata mbuyu alianza kama mchicha..
 
Baada ya kupata somo la kutengeneza website hapa jamii forum, nilijaribu kutengeneza website rahisi na kui host. Jamani wadau naombeni mtembelee hiyo site halafu mjaribishe muone jinsi inavyofanya kazi pia mtoe maoni yenu.

Link ni Tips and Tricks

Hii site umeitengenezea Online bila shaka, ningeshauri kutengeneza web kwa kutumia local computer yako , then ui Upload. Hapo ndio utakapojua uwezo wako katika kucheza na web designing. Baadae ndio utaanza kutumia hizo cms na online software zingine.

****GooD sTaRt bRooo******​
 
Ongeza juhudi za kusoma na fanya mazoezi sana 1.5/10
 
Baada ya kupata somo la kutengeneza website hapa jamii forum, nilijaribu kutengeneza website rahisi na kui host. Jamani wadau naombeni mtembelee hiyo site halafu mjaribishe muone jinsi inavyofanya kazi pia mtoe maoni yenu.

Link ni Tips and Tricks

Safi sana.

Fanya mazoezi zaidi.

Ukifail usisite kuuliza.

Tulianza huko huko.
 
thanks that's true "practice makes perfect", (1.5/10????)
nilikuwa tu na test functionality za php and practicing hosting wala sikukazia sana kwenye issue za interface,
sure I tell u I can design a wonderfull interface if I had time

Nimebadili site ambayo link yake ni JPM Subtitles
 
Back
Top Bottom