Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Naona Kigamboni ikibadilika kabisa. Inapaswa kuweka mipango Miji bora kuendana na uwekezaji huu wa Daraja. Haya ndio Maendeleo. Vitu vinaonekana badala ya porojo tu.
Barabara zinazotoka na kwenda darajani ziboreshwe sasa. Vinginevyo itakuwa white elephant" - Zito Kabwe!