omary mwene
JF-Expert Member
- Nov 6, 2013
- 293
- 55
weka picha mkuu.
stresi zitakuua! hama jukwaa kama unaona una unajasho lako nenda mahakamani uwe member wa mahakama
hahahaha ikikukera sana hamia Mf
ukiona una jasho lako jingi hapa jf nenda mahakamani uwe member wa
mahakama
Mwenye stress kati yangu mimi na wewe ambae ni "buza" uliyetuma hela kwa mtu ambae hata humjui na kuonesha ulivyo buza umekuja hapa kuuexpose ubuza wako bila hata chembe ya aibu?
aliniibia akahama
ukute katapeliwa huyu sasa amekuja kujifariji.......
Video tafadhali
Nina wasiwasi na jinsia yako
Kama wewe una kikojoleo cha kusimama basi una walakini kwenye ubongo wako na unatutia aibu sana
Au inawezekana wewe ndio miongoni mwa wale waliomaliza form 4 juzi
Private life unaileta JF?
Huna maana kabisa wewe
Hivi na nyie wanawake hamuonagi wa kuwavulia kyupi?????????
AAAaaaaaaaaggggggrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!
simchafui hii ni tahadhari kutoka idara ya wanaanga a.k.a hali ya hewa
Amen!!!
Hebu muone na huyu mji.nga mwingine hapa: https://www.jamiiforums.com/mahusia...eno-mapenzi-kwako-ni-hadithi-tu-men-only.html
Niliheshimu hapo "Men only"
Video tafadhali