Hawa jamaa wanaaibika sana pale barabara ya kuingia Mawasiliano (Simu 2000) wanaposimamisha daladala. Utasikia konda "nimempa buku tu na hajui, hakuitazama kwa kuwa kuna watu... "Amesema nikirudi nimpe anadai nitampaje watu wamekodoa macho..." Ni kama mradi aisee.