Majanga Simba SC!!!

Nyenyere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
14,842
Reaction score
10,765
Wachezaji wooote wa kigeni Simba hawaruhusiwi kucheza isipokuwa owino pekee. Vibali vya kazi na itc. Chanzo kamati ya ligi.
 
Bora. Nyie wana_Simba huyu Rage mtamkumbatia hata lini?
 
Wachezaji wooote wa kigeni Simba hawaruhusiwi kucheza isipokuwa owino pekee. Vibali vya kazi na itc. Chanzo kamati ya ligi.

Nilijua fika kuwa 'time will tell" yaani huyu bwana Rage badala ya kuhakikisha uongozi wake unaweka haya ma mambo ya Uhamisho mapeema yeye anapeleka timu huko kijijini kwao tena anaichezesha na kombaini ya wanakijiji, ahahaha...majanga sana.
 
kwa hiyo walicheza na "timu ya mwigulu" kinyume na sheria?
Naomba wakutane na Yanga, wadundwe labda akili zitawarudia vichwani.
 
kwa hiyo walicheza na "timu ya mwigulu" kinyume na sheria?
Naomba wakutane na Yanga, wadundwe labda akili zitawarudia vichwani.

Shafii dauda ameandika kwa kina.
 
Tena hata Owino hana kibali cha kufanya kazi.
 
Wachezaji wooote wa kigeni Simba hawaruhusiwi kucheza isipokuwa owino pekee. Vibali vya kazi na itc. Chanzo kamati ya ligi.
Mkuu kamati ya ligi imezuia wachezaji zaidi ya 30, sasa unapotaja wa Simba tu unakuwa hujatenda haki, taja wote waliozuiliwa.
 
Huyu rage mjin**g**a sana badala ya kuimalisha kikasi cha simba anaitumia simba kuimarisha ccm, mfano ni kule alipo ipeleka timu kucheza na timu ya kijiji cha mwigulu ili mkutano wa cdm ukose watu. Huyu jamaa asipongolewa madarakani mi nahamia azam kuliko kuendelea kuishabikia simbaccm
 
Huyu rage mjin**g**a sana badala ya kuimalisha kikosi cha simba anaitumia simba kuimarisha ccm, mfano ni kule alipo ipeleka timu kucheza na timu ya kijiji cha mwigulu ili mkutano wa cdm ukose watu. Huyu jamaa asipongolewa madarakani mi nahamia azam kuliko kuendelea kuishabikia simbaccm
 
Mkuu kamati ya ligi imezuia wachezaji zaidi ya 30, sasa unapotaja wa Simba tu unakuwa hujatenda haki, taja wote waliozuiliwa.
Hahahahahaha.
Hao wa Simba ndio wanao uza habari bhana.
 
Mkuu hata mimi Simba wamenikera sana kutumika kisiasa!Nilikuwa mpenzi wa Simba siku nyingi LAKINI nawaombea njaa wafungwe ikibidi wateremke daraja.Siwezi shabikia upuuzi wa jinsi hiyo bado nina akili timamu.Tena naombea leo wafungwe akili ziwasogee

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mkuu kamati ya ligi imezuia wachezaji zaidi ya 30, sasa unapotaja wa Simba tu unakuwa hujatenda haki, taja wote waliozuiliwa.

aCHANA NA HUYU MNAZI WA KIJINGA...
 
Na leo wanyamwezi tunamnyoa huyo Mnyama Al-Hassan Mwinyi Stadium. Mbele ya Rhino Rangers mnyama hatoki leo piga ua.
 
hakuna mshabiki wa simba anayeweza kuongea pumba kama hizi
 
Mkuu kamati ya ligi imezuia wachezaji zaidi ya 30, sasa unapotaja wa Simba tu unakuwa hujatenda haki, taja wote waliozuiliwa.
Sitegemei kwa timu ambayo ni kubwa kama simba kufanya makosa katika hili. Viongozi walikuwa wapi muda wote?
 
Kibaya chenu ndio mjikaze na endeleeni kukuza vipaji, salamu zenu wanazo ashanti mkawaulize?
 
Nilijua fika kuwa 'time will tell" yaani huyu bwana Rage badala ya kuhakikisha uongozi wake unaweka haya ma mambo ya Uhamisho mapeema yeye anapeleka timu huko kijijini kwao tena anaichezesha na kombaini ya wanakijiji, ahahaha...majanga sana.

Kwa dhambi aliyoifanya Rage kupeleka timu kijijini eti kumzuia Dr Slaa asipate watu, mwaka huu simba itambulia nafasi ya tano kama siyo kukuoswa kushuka daraja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…