MAJANGA: Shoppers (wauza mbegu) wafungasha virago!

Informer

Platinum Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,613
Reaction score
6,735
IMG_4641.JPG

Kama siamini amini hii mambo.

NB: Hawa si Shoppers Plaza

======

Established in 2012, Shoppers Trading Ltd. has made a name for itself in the list of top suppliers of Seeds, Nuts & Kernels in Tanzania. The supplier company is located in Dar es Salaam, Dar es Salaam and is one of the leading sellers of listed products.
 
Hivi wenzetu mnaishi katika sayari gani? Hivi mnapotaka "uchumi wa soko" a.k.a Ubepari.. mnafikiria matokeo yake ni nini? BIashara katika uchumi wa soko ni ushindani; na ushindani upo mpaka pale mmoja awe mshindi kweli. Na katika hilo wapo wanaozama katika uchumi huo na katika uchumi huo huo wapo wanaoibuka...

Hapa Marekani kulikuwepo na makampuni ya Circuit City, Radio Shack, Kmarts, Sears, n.k mengine yamekufa kabisa mengine imebidi yafilisike na kujipanga upya.. na kila kukicha kuna maelfu ya makampuni yanafungwa na wakati huo maelfu mengine yanaanzishwa; mti mmoja huanguka kwa sauti kubwa kuliko miti elfu inayochipuka taratibu pembeni yake...

Usishtuke tuwatakie tu kila la kheri.. watakuja wengine...
 
Kuna watu wanakenua na kufurahia nchi inayopitia.

Hii inatisha sana. Wachumi mlio Serikalini mnafanya nini? Nchi inazama
Hali ni mbaya kupita maelezo halmashauri nazo zimecharuka yani unafanya project na tasisi ya umma ukienda kufutilia malipo yako unambiwa nenda TRA ukalipe asilimia mbili ya Kodi kama Kodi ya ndani ya halmashauri hapo hapo wanataka waone risiti ya EFD yani unalipa asilimia 20 ya kodi baada ya kumi na nane

Haya njoo hivi vitambulisho vya wajasilia Mali ni kilio kila kona yani boda boda anambiwa awe nacho, mama mkaanga vitumbua asubuhi nyumbani anambiwa awe nacho, mama mbeba beseni la mboga mboga mtaji wake shilingi elfu tano anakamatwa kama hana

Yani mtaani ni kilio kilio kila kona pesa imeshika mbaya kodi imetamalaki hali ni mbaya mbaya kupita maaelezo.
 
Hivi wenzetu mnaishi katika sayari gani? Hivi mnapotaka "uchumi wa soko" a.k.a Ubepari.. mnafikiria matokeo yake ni nini? BIashara katika uchumi wa soko ni ushindani; na ushindani upo mpaka pale mmoja awe mshindi kweli. Na katika hilo wapo wanaozama katika uchumi huo na katika uchumi huo huo wapo wanaoibuka...

Hapa Marekani kulikuwepo na makampuni ya Circuit City, Radio Shack, Kmarts, Sears, n.k mengine yamekufa kabisa mengine imebidi yafilisike na kujipanga upya.. na kila kukicha kuna maelfu ya makampuni yanafungwa na wakati huo maelfu mengine yanaanzishwa; mti mmoja huanguka kwa sauti kubwa kuliko miti elfu inayochipuka taratibu pembeni yake...

Usishtuke tuwatakie tu kila la kheri.. watakuja wengine...
Vizur ungekuja na hayo makampuni yanayo chepua kwa sasa ili kukazia hoja yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wenzetu mnaishi katika sayari gani? Hivi mnapotaka "uchumi wa soko" a.k.a Ubepari.. mnafikiria matokeo yake ni nini? BIashara katika uchumi wa soko ni ushindani; na ushindani upo mpaka pale mmoja awe mshindi kweli. Na katika hilo wapo wanaozama katika uchumi huo na katika uchumi huo huo wapo wanaoibuka...

Hapa Marekani kulikuwepo na makampuni ya Circuit City, Radio Shack, Kmarts, Sears, n.k mengine yamekufa kabisa mengine imebidi yafilisike na kujipanga upya.. na kila kukicha kuna maelfu ya makampuni yanafungwa na wakati huo maelfu mengine yanaanzishwa; mti mmoja huanguka kwa sauti kubwa kuliko miti elfu inayochipuka taratibu pembeni yake...

Usishtuke tuwatakie tu kila la kheri.. watakuja wengine...

Credibility yako enzi mkitoa nondo za Richmond na ya awamu hii ni mbingu na ardhi.

Shoppers wanakufa,uchumi supermarkets nao chali,NAKUMAT nao wmekufa,kariakoo daily biashara zinakufa,milango sasa hivi haina soko,waweza tutajia mamia wapya wa shoppers walioibuka?;;

"Miafrika ndivyo tulivyo indeed- unafiki na kujikomba"
 
Hivi wenzetu mnaishi katika sayari gani? Hivi mnapotaka "uchumi wa soko" a.k.a Ubepari.. mnafikiria matokeo yake ni nini? BIashara katika uchumi wa soko ni ushindani; na ushindani upo mpaka pale mmoja awe mshindi kweli. Na katika hilo wapo wanaozama katika uchumi huo na katika uchumi huo huo wapo wanaoibuka...

Hapa Marekani kulikuwepo na makampuni ya Circuit City, Radio Shack, Kmarts, Sears, n.k mengine yamekufa kabisa mengine imebidi yafilisike na kujipanga upya.. na kila kukicha kuna maelfu ya makampuni yanafungwa na wakati huo maelfu mengine yanaanzishwa; mti mmoja huanguka kwa sauti kubwa kuliko miti elfu inayochipuka taratibu pembeni yake...

Usishtuke tuwatakie tu kila la kheri.. watakuja wengine...
Law of jungle survival for the fittest.
 
Back
Top Bottom