Kwani mkuu ulivyoomba vyuo hukuwa unaangalia capacity?
Kwa mfano... faculty flani wameomba mia tatu lakini chuo kinataka wa 4 tuu maana ndio uhuni wa nacte wanaoufanya..sasa wewe kama wew ndio ulitakiwa uangaliee GPA yako inaweza ikawakalisha walee wote ukawa miongoni mwa wale wanne?
Au je ulichoomba vigezo vyake unavyo? I mean vinalandana na ulivyosoma dip?
Na je chuo ulichosoma diploma umekiweka kwenye machaguo yako? (Ni muhimu kukiweka ili kama ukikosa pengine chuo chako lazma kikubebe)
Kama vyote vitatu upo sawa wala usijali kabisa utapangiwa tuu maana kuna second selection ...
Na ikishindikana hapo watakupangia NACTE wenyewe kwenye vyuo ambavyo hujachagua...ila sidhani lazma upate mkuu bhana..utakosaje chuo na umefaulu? Kagua vizuri hayo majina taratibu..