majanga kwa watu wa opensource

thesym

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
3,867
Reaction score
4,859
muasisi wa operating mojawapo ya linux Debian Ian Murdock amefariki dunia juzi tar 29/12/2015. Debian ni moja ya distribution za mwanzo kabisa za linux zinazotumia GUI (Graphical User Interface). Ian Murdock aliunda Debian akiwa bado ni mwanafunzi wa chuo kikuu. Ni operating system ambayo imetumika kutengeneza OS nyingine za linux kama vile Ubuntu, Linux Mint,Kubuntu, Fedora na nyinginezo. chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana lakini kwa mujibu wa twiter zake inaonyesha mar ehemu alijiuwa.
 
Last edited:
RIP Ian Murdock, a true innovator and contributor to our world.
 
Unakuta chuo kikuu kizima kinatumia open source. Duuu kazi acha waanze kuyashurtdown
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…