Majanga gani haya?

Hii picha si ya kawaida. imebeba habari kubwa. Mshana jr tueleze.
 
Hii picha si ya kawaida. imebeba habari kubwa. Mshana jr tueleze.
Nimeikuta mahali bila maelezo yoyote nikaona niilete hapa bila maelezo pia kwakuwa sijui nini kilitokea
 
{nakisia}jamaa walikuwa wanapasua mawa,sehemu yenye pango, jiwe kubwa likawashukia wakafunikwa wakiwa hai na.....
 
{nakisia} jiwe lilikuwa kwa juu, hao jamaa walikuwa wanachimba kwa chini, likaporomoka, huyo mmoja aligongwa kichwani na huyo wapili alifukiwa nusu, jiwe lilikuwa kama kipaa kwa juu...
 
{nakisia} jiwe lilikuwa kwa juu, hao jamaa walikuwa wanachimba kwa chini, likaporomoka, huyo mmoja aligongwa kichwani na huyo wapili alifukiwa nusu, jiwe lilikuwa kama kipaa kwa juu...
Naona uhalisia kwenye hili na jiwe lenyewe ndio bado limesukuma miguu ya huyo mwingine
 
Atapona kweli huyo ambae kichwa hakionekan?
 
[emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Picha duka, angalia vizuri mazingira ya huyo mtoto alipolala hayaoani na mazingira halisi (angalua majani) angalia kiwiliwili cha huyo alozama chini kwenye kiungio cha ardhi na mwili
 
Picha duka, angalia vizuri mazingira ya huyo mtoto alipolala hayaoani na mazingira halisi (angalua majani) angalia kiwiliwili cha huyo alozama chini kwenye kiungio cha ardhi na mwili
Ya mtoto yaweza kuwa sawa lakini huyo aliyefukiwa naona kama si dukapicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…