ukicheka na mbwa akufuata msikitini.Wanachekewa sana, kama wanavamia kituo na kuchukua silaha watashindwa ATM???!!!!
Inakera sana!!!
Wale polisi waliofukuzwa kazi kwa kosa la kula "denda" wakiwa kwenye uniforms muda wa kazi, watakwenda kufanya shughuli ipi?
kaburi tunajichimbia wenyew na hii serikali yetu.. Wale vijana wa jkt wanaomaliza mkataba na kurud nyumban bila kuajiliwa wanafanya kaz gan?
Polis waliofukuzwa mwaka jana wako na kaz gan?
Hizo ni nyepes zilizo chini ya kapet sijui kama mkulu analijua hilo....
Kuna baya zaidi linakuja.
Tuombe Mungu Tz isiingie vitan vya wenyew kwa wenyew havitaisha kamwe kuna jeshi kubwa liko mitaan ila limekosa ufadhili wa silaha tu
Watakwenda kulana denda kwa nafasi now!!Wale polisi waliofukuzwa kazi kwa kosa la kula "denda" wakiwa kwenye uniforms muda wa kazi, watakwenda kufanya shughuli ipi?
!
!
raia wanoko tu... ATM ukiweka geto,alhamdulilah
Ni ngumu sana kuvunja Atm uchukue pesa. Si ajabu ukatumia nguvu kubwa kudrill kiasi kwamba ukifanikiwa kufungua unakuta hela zimeungua