Majambazi yavamia kituo cha polisi

Majambazi yavamia kituo cha polisi

jossey1979

Senior Member
Joined
Apr 28, 2008
Posts
172
Reaction score
42


Majambazi waliokuwa wamejihami kwa silaha za
kisasa walivamia kituo Kidogo cha polisi kilichoko Gongolamboto na kuwateka
polisi waliokuwemo kituoni humo na kuwafungia mahabusu ya kituo hicho, majambazi
hao pia waliwajeruhi na walitaka silaha zaidi na radio call, hata hivyo
walishindwa kwakuwa radiocall haikuwa na chaji(aibu nyingine ya jeshi la polisi)
waliondoka wakiwaacha polisi ndani ya lockup yao mpaka walipokuja kuokolewa na
wananchi

CREDIT ; Radio Wapo, Radio Tumaini


Read more: Mdodosaji: MAJAMBAZI YAVAMIA KITUO CHA POLISI
 
[h=3][/h]

[h=2]Friday, July 19, 2013 | 3:30 PM[/h]

418.jpg

Hii imetokea huko Gongolamboto jana ,majambazi waliokuwa wamejihami kwa silaha za kisasa walivamia kituo Kidogo cha polisi kilichoko Gongolamboto na kuwateka polisi waliokuwemo kituoni humo na kuwafungia mahabusu ya kituo hicho, majambazi hao pia waliwajeruhi na walitaka silaha zaidi na radio call, hata hivyo walishindwa kwakuwa radiocall haikuwa na chaji(aibu nyingine ya jeshi la polisi) waliondoka wakiwaacha polisi ndani ya lockup yao mpaka walipokuja kuokolewa na wananchi.




Read more: MAJAMBAZI WAVAMIA KITUO CHA POLISI CHA GONGOLAMBOTO, WAIBA SILAHA NA KUWAFUNGIA ASKARI KAMA MAHABUSU..!! - GUMZO LA JIJI
 
Mfumo "MAFIA" hayo ni maendeleo na bado yajayo ni zaidi, Kama serikali haijapangaa maandalizi na kujiandaa kupambana na uhalifu, Nasikitika kusema " hatupo makini " tupo ilimradi tupo-tupo tu.....sad news!!
 
Wapigwe tu tena nasema wapigweeeeeeeeee.... tumechoka.
 
Polisi wako busy na masuala ya siasa, na hawajihami kabisa na matukio kama haya!! Aibu eti hata radio call haina chaji? Kweli udhaifu bila maombi si rahisi kumalizika Tanzania.
 
Hahahaahaaaaa safi sana nao wameonja adha ya "Wapigeni tu" ipo siku pinda naye atapigwa tu
 
Twanga hao polisi vibaya sana sana sana.Tena kandamiza hakuna huruma.Wananchi wasitoe ushirikiano kwa hao Polisi majambazi.Wamedhulimiana pesa tu.Piga sana hao polisi.
 
Hawa polisi wetu washatumbukia kwenye siasa wakasahau majukumu yao na ndo maana hata majambazi wanafanya haya huku wakijua polisi wapo kwa ajili ya kutuliza maandamano ya chadema, cuf na waislam tu na si wao majambazi
 
Safi sana hiyo ndo moja ya ishara kuwa policcm haina dira na wamesahau wajibu wao

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sio kawaida ya majambazi kuvamia vituo vya polisi, hao watakuwa wanadai chao. Wataweza kufahamu hali halisi ya kituo na kuweza kuvamia.
 
Hii kali ya mwaka huu. Radio call kukosa chaji!! Polisi kuokolewa na wananchi. Tunakoelekea itabidi raia tujilinde wenyewe.
 
Hahahaahaaaaa safi sana nao wameonja adha ya "Wapigeni tu" ipo siku pinda naye atapigwa asiseeeee babayangu hi kauli nadhani itakuja kutokea coz lisemwalo lipo na kama halipo linajongea
MOOD weka hii kauli:msela::msela:
 
Mwema akiona komenti za humu itabidi asitishe utaratibu wa polisi jamii na ulinzi shirikishi
 
hao polisi waskie sh; ponda anafanya maandamano ndo utawajua....lakini kwenye serious issue ni sifuri....
 
Police kawekwa 'lokap' na mwizi...only in Tanzania!!!
 
Back
Top Bottom