Majambazi yavamia BigBon Mbagala

Majambazi yavamia BigBon Mbagala

Tujikomboe Finance

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
212
Reaction score
81
Majambazi yamevamia karibu kabisa na NBC Mbagala muda huu. Jambazi moja katiwa nguvuni. Bravo Polisi maana shaba zimepigwa mbaya. Haijajulikana kama wamepora......tunafuatilia zaidi

Mods: Samahani badilisheni kichwa muondoe neno NBC

Updates: Tukio halijatokea NBC ila walitaka au wamefanya uporaji kituo cha Big Bon. Kulikuwa na urushaji wa risasi kati ya polisi na majambazi ambao baadaye walifanikiwa kujichanganya na majambazi. Polisi aliyekuwa amevaa nguo za kiraia alikuwa anaangalia mchoro mzima ndipo kwa ustadi mkubwa alifanikiwa kumfuata jambazi moja na kumweka chini ya ulinzi, mashuhuda wanasema '' ilikuwa kamakwenye video''.
 
hi nchi ishakuwa balaa, huku mtaa wa Uhuru Kariakoo, zimetembea shaba mbaya ndio kumepoa poa sijui wamepiga wapi tena?
 
Walikuwa wana beep tamko la kova kwamba sasa mabank yote kulindwa na Polisi "OBLIGADO"
 
Majambazi yamevamia karibu kabisa na NBC Mbagala muda huu. Jambazi moja katiwa nguvuni. Bravo Polisi maana shaba zimepigwa mbaya. Haijajulikana kama wamepora......tunafuatilia zaidi

kichwa cha habari na habari yenyewe havieleweki, NBC ndiyo imevamiwa au ulikua unamaanisha nini?
 
na bado hao ni pre alshaba
wenyewe wanataka uwanja wa taifa wa taifa
 
Majambazi yamevamia karibu kabisa na NBC Mbagala muda huu. Jambazi moja katiwa nguvuni. Bravo Polisi maana shaba zimepigwa mbaya. Haijajulikana kama wamepora......tunafuatilia zaidi

Hebu funguka Mkuu Tujikomboe Finance, wamevamia NBC au maduka ya jirani na hapo? Maeneo yale kuna Petrol Station ya Big Bon, Benki ya CRDB, NMB na maduka ya jumla?
 
Last edited by a moderator:
Mleta taarifa tupe habari kamili, ni NBC imevamiwa au wapi?
 
Kama mmoja kakamatwa wote watakamatwa lakini mleta mada anatatizo kichwa cha habari kinasema nbc yavamiwa ukisoma ndani anasema karibu na nbc sasa tuchukue lipi.
 
daah sasa tuone kazi ya hawa police ccm sio kuuaraia wasio na hatia.

nyie chadema hamna kizuri hataaa! Ngoja waje kupora kwenye disco la tajiri yenu tuone kama mkiwapigia cm mtawaita "policcm"! Badala yakusapoti mapambano dhidi ya uhalifu,nyie mmekalia siasa tu! Kila kitu siasa tu, naomba siku uingiliwe na jambazi wakushughulikie barabara ndio utatafuta polichadema waje kukusaidia!
 
imevamiwa benk au karibu na benk??? mtoaji habari hebu rudi utujuze uzuri tena
 
Kuua raia kumetoka wapi? Watie moyo sio wote wameoza.
 
na bado hao ni pre alshaba
wenyewe wanataka uwanja wa taifa wa taifa

kwani unadhani na wewe siku moja huwezi kuangukia mikononi mwa majambazi au magaidi na wewe ukawa victim!? Unadhani hayo majanga yameandaliwa kwa watu maalumu tu! Acha kushabikia Us.......nge wako hapa! Tafuta b.....sha!
 
nyie chadema hamna kizuri hataaa! Ngoja waje kupora kwenye disco la tajiri yenu tuone kama mkiwapigia cm mtawaita "policcm"! Badala yakusapoti mapambano dhidi ya uhalifu,nyie mmekalia siasa tu! Kila kitu siasa tu, naomba siku uingiliwe na jambazi wakushughulikie barabara ndio utatafuta polichadema waje kukusaidia!

majambazi wenyewe sindio hao hao policeccm, watumeni tu!! nibora nikabaki na gun yangu nikajilinda mwenyewe, thts why hatamabank yamekosa imani na jeshi lao nawaona bora makampuny ya ulinz binafsi, nchi mmesha iozesha ngojeni kula harufu ya uozo wenu.
 
Majambazi waendelee hivyo hivyo, ateast watawa-keep busy hawa njagu maana wamezidi kuwa idle sana, kila siku ni kuiwaza CHADEMA tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom