Majambazi yauwa Kilimanjaro

Majambazi yauwa Kilimanjaro

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Mfanyabiashara wa mbao Nickson Mushi ameuawa usiku wa kumkia leo na watu wanaodhaniwa majambazi, wampora takriban Sh 1.7 Mil, Polisi yathibitisha.moshi
 
Hao sio majambazi ni wachumia tumbo. Jambazi hawezi kuua mtu kwa ajili ya Tsh. 1.7M. Hiyo hela wakigawana wahusika wote kila mtu atapata shilingi ngapi? Hiyo hela itakayopatikana haitoshi kununulia hata iPhone 5.

R.I.P. Mushi.
 
pia nathani hawana uzoeefu wale wenyewe hawauwi ovyo
 
R.I.P : Mfanyabiashara wa mbao Nickson Mushi ameuawa usiku wa kumkia leo na watu wanaodhaniwa majambazi, wampora takriban Sh 1.7 Mil, Polisi yathibitisha.
 
Noma sana ukizingatia kiasi cha pesa walichofuata na kuua mtu rip
 
Jambazi haui kwa 1.7m....! hao ni vibaka tu.
 
R.I.P : Mfanyabiashara wa mbao Nickson Mushi ameuawa usiku wa kumkia leo na watu wanaodhaniwa majambazi, wampora takriban Sh 1.7 Mil, Polisi yathibitisha.
Sasa hiyo si ni hela ya supu tu....Life is priceless
 
Sio majambazi hao, tena kwa Kilimanjaro wanaoijua hela kama urithi wao kutoka kwa Mungu.
 
pia nathani hawana uzoeefu wale wenyewe hawauwi ovyo

Hatuwezi kujua zaidi kuhusu hao majambazi kwan yaweza kuwa walitumwa kuua na sio kuiba,Pili yaweza kuwa walitegemea kiasi kikubwa kuliko walichomkuta nacho au Halikuwa mbishi kutoa ushirikiano kwa kuwapa hicho kiasi!!
 
maafande wetu juzi niliwaona.moshi makimaliza mafunzo jinsi ya kupambana uhalifu vp.intelgesia aikuweza kugudua hualifu huo wangeweza.kumwokoa mushi
 
Tunapoelekea kipindi hiki cha karibu na Xmas uzoefu unaonyesha kutatokea matukio mengi ya Uporaji Moshi,Arusha na Dar...
 
Hao si majambazi ni vibaka au watu wa karibu wenye kufahamu mienendo yake...

Hii nchi sijui nani katuroga...kuna watu wakatili kuliko ukatili wenyewe
 
Hiyo hela
wakigawana wahusika wote kila mtu atapata shilingi ngapi?

inawezekana ukawa unafahamu lolote kuhusu tukio hili.
kwani wahusika ni wangapi hadi ukawa na mashaka katika mgao wa pesa?
 
rest in peace our dear one...thanks for the time you spent with us and all the love you gave us you were always there for us....till noow i dont believe its real...
 
maafande wetu juzi niliwaona.moshi makimaliza mafunzo jinsi ya kupambana uhalifu vp.intelgesia aikuweza kugudua hualifu huo wangeweza.kumwokoa mushi

siku hizi unaweza kuta ndio hao hao waliopiga tukio wakiwa part-time!
 
Back
Top Bottom