Majambazi yapora usiku huu

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,715
2,000
Nimekutana na gari zinakimbizana kwa speed Kali sana nimefika eneo la DTV kuna umati wakiwepo police Wa Bank yasemekana mwezi wakiwa na gari Toyota Carina wezi waliwaona wanawake nadhani ni Wa kifiripino wamevalia mavazi meupe wakashuka na kumpora mmoja wao kwa kuuvuta mkoba wake kwa kasi ya ajabu na huyo RAIA Wa kigeni alinguka kwa kifudi fudi hadi chini mkoba ukaenda raia walistushwa na kutaharuki kuna kijana Wa kihindi alikuwa karibu na gari lake alijitolea kuwakimbiza hadi kufika mitaa ya maktaba near CMC wakapiga uturn kumpoteza maboya mhindi aliyekuwa anawakimbiza kuona hivyo mhindi akastop nae majambazi yakatoa bunduki mhindi kuona vile akapitiliza...

Akarejea kwenye eneo la tukio na kuadithia na kusema aneishika namba ambayo ni Toyota Carina silver T956 DGJ. Mwenye namba hiyo ya gari ajue gari lake linatumika kijambazi au labda wamechinga fake.

Wageni hao walikuja kwa ndugu yao anayeishi maeneo hayo yasemekana kwenye mkoba kuna pesa kiasi simu aina ya IPhone na laptop vyenye thamani... Police Wa bank NBC kichwele na Mjumbe bwana Mitesh waliwashauri wawahi faster Central police kureport...

Muda Wa tukio ilikuwa around 10:15 hivi... Tuwe Makini kutembea na vitu vya thamani usiku na mchana siku hizi za kufunga mwaka si nzuri na salama..

Naombea wezi hao majambazi washikwe haraka
 

UngaUnga

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
1,730
2,000
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]!, hayo mengine hatuna habari nayo!
 

RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
40,267
2,000
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]!, hayo mengine hatuna habari nayo!
Kwahio uhai na usalama wa wengine hauna thamani ila wa huyo ben ndio una thamani sana. Nilikuwa nashangaa kwanini watu wengine wanaita watu wengine NYUMBU sasa naanza kuelewa.
 

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
26,189
2,000
...
...
...
Wageni hao walikuja kwa ndugu yao anayeishi maeneo hayo yasemekana kwenye mkoba kuna pesa kiasi simu aina ya IPhone na laptop vyenye thamani... Police Wa bank NBC kichwele na Mjumbe bwana Mitesh waliwashauri wawahi faster Central police kureport... Muda Wa tukio ilikuwa around 10:15 hivi... Tuwe Makini kutembea na vitu vya thamani usiku na mchana siku hizi za kufunga mwaka si nzuri na salama.. Naombea wezi hao majambazi washikwe haraka
..
Ameen
 

vaikojoel

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
2,040
2,000
unajua mimi hizi nyimbo nishachoka kuimba kila siku..
acheni kutembea na vitu vya thamani usiku mnene,,,
sikukuu hizi mtaonana wa baya

jana nimekutana na mzee bank DTB anafanya transfer school fees kwenda CRDB, anasema laki 6 hiyo isije ikamtoa roho nje ..lol
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom