Majambazi sugu wauawa

Majambazi sugu wauawa

deadteja

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
379
Reaction score
84
Katika operation ilitofanyika mchana huu na jeshi la polisi mkoa wa Kinondoni, imewanasa majambazi kadhaa na watatu kati yao kuuwawa. Nipo Magomeni Usalama hapa.
 
Ni kweli majambazi?
Maana TZ hii inatisha!
 
kwa namna mahakama zetu zilivyo na kila sababu ya kutokutenda haki sishangai kuona lawlessness kubwa hivyo.Lakini majambazi hao walipambana kufa na kupona au ni yale yale ya polisi kutumia misuli akili wakiwa wameacha makwao?
 
Thanks for information, just to remind you, this is a political forum

Mods, move this thread to the reasonable forum
 
Walikuwa wanakwenda kufanya uhalifu wakadakwa au ni kivipi? Tupe habari zaidi?
 
polisi, kazi nzuri sana, endeleeni kwapunguza bila kusahau hawa wenye dhamana wano tufilisi
 
r.i.p majambaziMnaacha kuiba kwa mafisadi mnaingia choo cha kike
 
Mbona wameshahau wale majambazi wengine pale Mjengoni? si wangeanza nao fasta fasta? Kweli ni majambazi au ni watu ambao maisha yamekua magumu kutokana na uroho wa wachahce (majambazi)?
 
Redio WAPO FM wanasema ni majambazi 5 wameuwawa maeneo ya mburahati.
 
Thanks for information, just to remind you, this is a political forum

Mods, move this thread to the reasonable forum

Mmmh waeza jikuta weye ndo umechemka; hebu jicheck uzuri afu utueke sawa yaezekana kuna Majambazi forum c hatujui
 
Katika operation ilitofanyika mchana huu na jeshi la polisi mkoa wa Kinondoni, imewanasa majambazi kadhaa na watatu kati yao kuuwawa. Nipo Magomeni Usalama hapa.

Hao majambaz ni CCM AU?
Kama sio CCM basi hakuna jambaz sugu aliyeuawa.
 
dah!weekend ndo hii, hao wajanja utakuta walishapanga kula sana bata....askari wamepunguza idadi ya wala bata siku ya leo
 
Back
Top Bottom