Majambazi na wezi wapewe grace period kama wakurugenzi wanaolipa wafanyakazi hewa

lukoma

JF-Expert Member
Jul 1, 2013
2,995
2,245
Hivi hii nchi tunataka malaika atuongoze? Kunatofauti gani kati ya fisadi, jambazi, mwizi na mkurugenzi anayeweka majina hewa kwenye payroll?

Yale yale ya Mwigulu! badala ya kutoa adhabu kwa wakurugenzi waliokuwa wanalipa wafanya kazi hewa na kulisababishia taifa hasara ya matrilion akaamua mishahara kulipwa mojakwamoja toka hazina. Akatembea kifua mbele akijigamba amethibiti wizi akisahau kwa upande mwingine alikuwa ameshindwa kuchukua adhabu kwa wezi hao. Ni lini tutaacha kutoa grace period kwa wakwepa kodi na wahujumu uchumi? Ni lini tutawapa majapazi na wezi wa kuku grace period angalau nao waibe free kwa siku angalau 3 tu!

Tujiulize, rais anapohoji kwanini Rwanda hakuna ujambaza lakini TZ upo then akachukua uamuzi wa kuwapa wezi/majambazi yanayoweka majina hewa kwenye payroll grace period anahisi njia hii ya kutoa grace period ndiyo iliyolifikisha taifa la Rwanda pale lilipo?
 
Naunga mkono hoja majambazi yapewe wiki mbili grace period ya kuacha ujambazi, waibe katika kpindi hicho
 
Naiona hoja yako.kama wakulugenzi wanacho fanya ni kosa kwanini? Hawa pelekwi mahakamani.double standard
 
Jana JPM nilimusikia anaongelea kuhusu wafanyakazi waliokwenda masomoni kujiendeleza na wenyewe anasema hewa wasilipwe hapo sijamwelewa aliyemuelewa anipe ufafanuzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom