Lancashire JF-Expert Member Sep 20, 2014 14,057 10,365 Jan 22, 2016 #2 Waziri mkuu awe nauhakika was anachokisema.vijijini kuna halo mbaya sana watu wanakufa kwa njaaa
habari ya hapa JF-Expert Member Dec 20, 2012 12,791 8,743 Jan 22, 2016 #3 Mlikuwa wapi hadi watu wanafikia kula wadudu??? hadi hivyo umekurupuka tu kuongea hivyo ili hali watu wanaendelea kufa kwa njaa
Mlikuwa wapi hadi watu wanafikia kula wadudu??? hadi hivyo umekurupuka tu kuongea hivyo ili hali watu wanaendelea kufa kwa njaa