Majaki batiki fashion

Majaki batiki fashion

Gunda Jr

Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
9
Reaction score
0
MAJAKI BATIKI FASHION ni wataalam wa kutengeneza na kufundisha Batiki aina zote (BATIKI, TIE & DYE, BREACH, VIKOI + KANGA BATIKI, PICHA BATIKI na aina zingine nyingi)

Tunafundisha kwa bei nafuu sana na kwa muda mfupi. Mwanafunzi anapojifunza anapewa mbinu za kumfanya kuwa mbunifu ili kumtofautisha na wengine ktk soko lenye ushindani.

Pia tunapokea order za kutengeneza sare au vitambaa vya kanisani, ofisini na maeneo mengine.

Kwa mawasiliano; +255 759 934146


IMG-20170131-WA0023.jpeg
 

Attachments

  • IMG-20170131-WA0014.jpeg
    IMG-20170131-WA0014.jpeg
    96.8 KB · Views: 296
  • IMG-20170131-WA0008.jpeg
    IMG-20170131-WA0008.jpeg
    67.8 KB · Views: 208
  • IMG-20170131-WA0019.jpeg
    IMG-20170131-WA0019.jpeg
    84.7 KB · Views: 180
  • IMG-20170131-WA0022.jpeg
    IMG-20170131-WA0022.jpeg
    75.3 KB · Views: 224
Bazee ni kitambaa ambacho tayar kimedizainiwa kiwandani tayari kwa kushonwa lakini batiki ni hutengenezwa kwa kutumia kitambaa cheupe chenye pamba 100% ili uweze kuweka rangi uitakayo. Bazee ina polyester nyingi hivyo rangi haiwezi kukamata.
NB; Hivyo vitambaa hapo juu vilikuwa vyeupe vimetiwa rangi na ndio batiki inavyotengenezwa. Karibu sana Chotera
 
Picha batiki inaanzia robo mita na kuendelea.
Batiki ya kushona inaanzia mita 2 na kuendelea zote zina bei zake. Karibu sana Miss Grace
 
Mko wapi mkuu
Namaanisha darasa lenu mnafundishia wapi naweza kukutafutia mwanafunzi bila shaka
 
Back
Top Bottom