Mtume ﷺ amesema:
الْقُضَاةُ ثَلَاثَةٌ: وَاحِدٌ فِي الْجَنَّةِ وَاثْنَانِ فِي النَّارِ
Maana yake:
Majaji ni aina tatu: mmoja yuko Peponi na wawili wako Motoni.
Akaeleza kuwa jaji anayejua haki na kuhukumu kwa haki ndiye atakayekuwa Peponi; anayejua haki lakini akapindisha hukumu, na anayehukumu kwa ujinga, wako Motoni.
Chanzo: Sunan Abi Dawud, Hadithi Na. 3573; Jami' at-Tirmidhi, Hadithi Na. 1322.