Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jan 29, 2017 #1 Kila mlimbwende alionesha makeke ya hali ya juu hadi kuwapa wakati mgumu majaji. Kumbuka majaji ni Leonald Kaduguda (kushoto), Mama Ngenda Lutalo (katikati) na Mwl.Tatu Ngelengela (kulia).
Kila mlimbwende alionesha makeke ya hali ya juu hadi kuwapa wakati mgumu majaji. Kumbuka majaji ni Leonald Kaduguda (kushoto), Mama Ngenda Lutalo (katikati) na Mwl.Tatu Ngelengela (kulia).
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Jan 29, 2017 #2 Naona maji ya dhahabu yatawasaidia kutoa maamuzi
danhosnoop JF-Expert Member Joined Oct 21, 2014 Posts 2,721 Reaction score 10,528 Jan 29, 2017 #3 Naona jaji wa kati macho yashaanza kulegea
Bahati lucky Member Joined Jan 22, 2017 Posts 16 Reaction score 13 Jan 29, 2017 #4 Hayo maji wanayokunywa lazma yatasaidia jambo
elineema William JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 577 Reaction score 288 Jan 29, 2017 #5 Mmmmmh
Queen Kan JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,302 Reaction score 9,095 Jan 29, 2017 #6 Duh kweli maisha yamekabaa
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,272 Reaction score 96,398 Jan 29, 2017 #7 Queen Kan said: Duh kweli maisha yamekabaa Click to expand... Kwamba ushaamka mapema namna hii??? Njoo kanisani nikuombee...
Queen Kan said: Duh kweli maisha yamekabaa Click to expand... Kwamba ushaamka mapema namna hii??? Njoo kanisani nikuombee...
Mkushi Da Gama JF-Expert Member Joined Jun 23, 2015 Posts 3,692 Reaction score 4,995 Jan 29, 2017 #8 Daaa
J Jozi 1 JF-Expert Member Joined Aug 16, 2015 Posts 6,562 Reaction score 4,150 Jan 29, 2017 #9 danhosnoop said: Naona jaji wa kati macho yashaanza kulegea Click to expand... Yaani huyo jaji wa kati rangi ya uso wake na mikono yake tofauti kabisa afu anahukumu urembo wa wenzie
danhosnoop said: Naona jaji wa kati macho yashaanza kulegea Click to expand... Yaani huyo jaji wa kati rangi ya uso wake na mikono yake tofauti kabisa afu anahukumu urembo wa wenzie
danhosnoop JF-Expert Member Joined Oct 21, 2014 Posts 2,721 Reaction score 10,528 Jan 29, 2017 #10 Jozi 1 said: Yaani huyo jaji wa kati rangi ya uso wake na mikono yake tofauti kabisa afu anahukumu urembo wa wenzie Click to expand...
Jozi 1 said: Yaani huyo jaji wa kati rangi ya uso wake na mikono yake tofauti kabisa afu anahukumu urembo wa wenzie Click to expand...
Queen Kan JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,302 Reaction score 9,095 Jan 29, 2017 #11 Asprin said: Kwamba ushaamka mapema namna hii??? Njoo kanisani nikuombee... Click to expand... Nipo kanisani, ni vile mchungaji kasema tuimbe tenzi sasa mimi yangu iko simuni
Asprin said: Kwamba ushaamka mapema namna hii??? Njoo kanisani nikuombee... Click to expand... Nipo kanisani, ni vile mchungaji kasema tuimbe tenzi sasa mimi yangu iko simuni
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,521 Reaction score 6,517 Jan 29, 2017 #12 Halafu kuanzia this end of Jan 2017 bia ya serengeti ni buku mbili tu
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Jan 29, 2017 #13 Ulabu tena!