Majaaliwa ya watanzania

hivi kuwaa miss au kushiindania umiss lazima uwee nusu uchiii?
 
Pamoja na mikwara yote ya kuwepo kambini subiri results wakifika katika stage ya miss world!!!!!
 
Biashara ya utumwa mamboleo hii,unamfanyia biashara binadamu mwenzi kwa kisingizio cha uzuri na gari,hii balaatupu na umaskini wetu unachangia
 
ndicho tunachoweza... kuchekacheka na kuchezacheza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…