Maiti: Nipeni fegi bana. ntatoka!

MARCKO

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
2,258
274
Wanamsafirisha mtuwao aliokua anajifanya kafa kisa hamna nauli ya kuwatosha wote kwenye gari ya kukodi. Dar- Moshi. Walipofika mwanga, jamaa mmoja kasema oya ukishuka pale stand niletee maji ndogo. Jama kwenye jeneza (alikojifanya amekufa) akasema Oyaa, FEGI BASI WAZEE! akaambiwa wee tulia '****' wewe. Maiti: nimewaambia tumieni hiyo pesa yangu nilowapa mshike nleteeni poti fasta au nitoke.
 
Back
Top Bottom