Mi ninavyoona maisha sio magumu na hayajabadilikaa ilaa utofauti ni jinsi ulivyokuwaaa unajipatiaa kipato chako kama ilikuwa ni kwa halali maishaa yatakuwa ndo yale yale ila kama mlikuwa mmezoeaa janja janjaa lazima jua liwawakiee 24/7
Mi ninavyoona maisha sio magumu na hayajabadilikaa ilaa utofauti ni jinsi ulivyokuwaaa unajipatiaa kipato chako kama ilikuwa ni kwa halali maishaa yatakuwa ndo yale yale ila kama mlikuwa mmezoeaa janja janjaa lazima jua liwawakiee 24/7 View attachment 441348
Swali: Kufanya biashara ni halali?
Jibu: Ndio
Hali ya sasa: Kupungua kwa wateja au hakuna kabisa.
Swali: Mfanya biashara huyu atakuwa na maisha magumu au mepesi?
Msiwe na majibu rahisi kwenye maswali Magumu. Ukizuia magendo kwa ghafla hata Halal huathilika. Lengo la Rais wetu ni zuri lakini utekelezaji wake ndio tatizo.