Tokyo40 JF-Expert Member Jun 16, 2013 2,065 1,924 Feb 14, 2016 #1 Polisi wa Spain wametumia mashine maalum ya kupima mdundo wa moyo kukamata raia wa Guinea mpakani aliyefichwa hivi katika gari:
Polisi wa Spain wametumia mashine maalum ya kupima mdundo wa moyo kukamata raia wa Guinea mpakani aliyefichwa hivi katika gari:
Munyanka JF-Expert Member Sep 21, 2015 233 80 Feb 14, 2016 #2 Tokyo40 said: Polisi wa Spain wametumia mashine maalum ya kupima mdundo wa moyo kukamata raia wa Guinea mpakani aliyefichwa hivi katika gari: View attachment 323202 Click to expand... Mmh watu wana mbinu balaa
Tokyo40 said: Polisi wa Spain wametumia mashine maalum ya kupima mdundo wa moyo kukamata raia wa Guinea mpakani aliyefichwa hivi katika gari: View attachment 323202 Click to expand... Mmh watu wana mbinu balaa
KENZY JF-Expert Member Dec 27, 2015 26,612 58,068 Feb 14, 2016 #3 you mean mbinu kama ile ya kwenye delta force part 3...?
Munyanka JF-Expert Member Sep 21, 2015 233 80 Feb 14, 2016 #4 KENZY said: you mean mbinu kama ile ya kwenye delta force part 3...? Click to expand... Yah hard way
KENZY JF-Expert Member Dec 27, 2015 26,612 58,068 Feb 14, 2016 #5 Munyanka said: Yah hard way Click to expand... nliiependa ile mbinu
MasterP. JF-Expert Member Jun 5, 2013 7,990 6,281 Feb 15, 2016 #6 Hii kali, shida yote ya nini wajameni...
P Pricillah JF-Expert Member Mar 20, 2016 722 258 Jun 27, 2017 #10 Maskini wee sio kwa kujificha huko, sasa alikua anapumuaje?