twende wote
Member
- Mar 29, 2021
- 50
- 84
Hamza kapita acha wenye taaluma zao wafanye hizo investigationMkuu hii ni juu yako mwenyew kati ya kuendelea na hadithi au kuacha. Kwa sasa wengi wetu tupo katika investigation ya huyu anaeitwa hayati Hamza.
[emoji23][emoji23][emoji23]eti kuvushwa hapo kwenye mamba Tsh 10, afu wakati wapo njiani wanakijiji wakastuka kwamba wao ni wageni wakaanza kuwahoji huku wanawakimbiza na viboko juu.
Aisee mkuu mamba mliwakalia au mliwabeba mkakimbia nao huku na nyie mmebebwa mnavushwa kwenye mamba?
Tuache kidogo hujatufanyia poa.
Duuh ila huu uandishi mkuu ni hatari sana. Jaribu basi kua walaj unaandika kwa aya. Aya moja unaelezea tukio flani likiisha unaingia aya nyingine unaelezea tukio jingine.Wakati tunaingia joburg na jamaa yangu Roby, tuliishi mtaa wa waswahili, usumbufu mwingi,wakati huo Mimi darasa langu la form 1 liko kichwani, nikamwambia mshikaji hili jiji kubwa, biashara ya matunda ngumu, Basi wadau wa michongo wakanistua,usiondoke komaa tupate kwanza permit ya ukimbizi, Basi nilimsikiliza tukafatilia permit,maana hapo paspot ni karatasi ilishakuwa flushed ili kupoteza utaifa, Basi tukaingia migration, tukaji submit kwa afsa mmoja,bana sisi tunatoka Burundi hapA tunahitaji hifasdhi, maswali yakawa mengi Sasa, kwa uzuri kulikuwa na option km una sent kidogo unaweka mwanasheria Ana kusimamia shauri lako mpk unapata hyo permit,
Zoezi Hilo baadae unafika unaulizwa bendera ya nchi yako Ina rangi ngapi, entry points za nchi yako, national anthem ya nchi yako,huwez amini vijana wanajiandaa, hakuna aliefeli, HAKIKA penye Nia njia ipo, Basi story short, baada ya miezi 3 tulipata permit za ukaazi km wakimbizi,
Mitaa ya wa waswahili ndo ipi hiyo jobergWakati tunaingia joburg na jamaa yangu Roby, tuliishi mtaa wa waswahili, usumbufu mwingi,wakati huo Mimi darasa langu la form 1 liko kichwani, nikamwambia mshikaji hili jiji kubwa, biashara ya matunda ngumu, Basi wadau wa michongo wakanistua,usiondoke komaa tupate kwanza permit ya ukimbizi
Basi nilimsikiliza tukafatilia permit,maana hapo paspot ni karatasi ilishakuwa flushed ili kupoteza utaifa, Basi tukaingia migration, tukaji submit kwa afsa mmoja,bana sisi tunatoka Burundi hapA tunahitaji hifasdhi, maswali yakawa mengi Sasa, kwa uzuri kulikuwa na option km una sent kidogo unaweka mwanasheria Ana kusimamia shauri lako mpk unapata hyo permit
Zoezi Hilo baadae unafika unaulizwa bendera ya nchi yako Ina rangi ngapi, entry points za nchi yako, national anthem ya nchi yako,huwez amini vijana wanajiandaa, hakuna aliefeli, HAKIKA penye Nia njia ipo, Basi story short, baada ya miezi 3 tulipata permit za ukaazi km wakimbizi.
Sehemu ya tatu,Wakati tunaingia joburg na jamaa yangu Roby, tuliishi mtaa wa waswahili, usumbufu mwingi,wakati huo Mimi darasa langu la form 1 liko kichwani, nikamwambia mshikaji hili jiji kubwa, biashara ya matunda ngumu, Basi wadau wa michongo wakanistua,usiondoke komaa tupate kwanza permit ya ukimbizi
Basi nilimsikiliza tukafatilia permit,maana hapo paspot ni karatasi ilishakuwa flushed ili kupoteza utaifa, Basi tukaingia migration, tukaji submit kwa afsa mmoja,bana sisi tunatoka Burundi hapA tunahitaji hifasdhi, maswali yakawa mengi Sasa, kwa uzuri kulikuwa na option km una sent kidogo unaweka mwanasheria Ana kusimamia shauri lako mpk unapata hyo permit
Zoezi Hilo baadae unafika unaulizwa bendera ya nchi yako Ina rangi ngapi, entry points za nchi yako, national anthem ya nchi yako,huwez amini vijana wanajiandaa, hakuna aliefeli, HAKIKA penye Nia njia ipo, Basi story short, baada ya miezi 3 tulipata permit za ukaazi km wakimbizi.
Ebwana eeeeh! Form one ulikuwa n umri gani? Au ndio kama mm tu vile nilikiwa na miaka 13Sehemu ya tatu,
Samahani atakae taka niendelee asome, Mimi nishasema sio mwandishi mzuri,
Ok,baada ya kupata permit ya ukaazi tulijitenga, mi nikaenda cape Town, Roby akabaki joburg, namshukuru Mungu malezi ya utotoni yalinisaidia kumudu maisha ya sauz, maana kuingia ktk ulevi wa madawa no kugusa tu,kwa maana yapo anywhere, anytime just yo cash..
Basi jamaa yangu Roby tunavoongea ni Teja Ila kwa Sasa anapata ahueni, baada ya kutoka gerezani,ambako alitumikia miaka 7.
Baada ya kuwa cape Town ki ukweli nilipata mwanamke wa umri wa mama yangu, lakn ni shida ndo zilipelekea kuingia ktk mahusiano, lakn sio poa kuoa mzee kisa njaa, ni jela huru uraiani,..
Basi nimekaa na mama huyo miaka 2 na tulipata mtoto wa kiume, wakati tuko na familia mke wangu alikuwa mfanyabiashara, akienda Sweden na kuleta vipuri mbalimbali vya kitambo na magari,Mimi nilikuwa msambazaji wa Oda ktk maofisi ya watu,,
Ilipofika mwaka 2008 tayr niliweza kupata vigezo vya kumiliki paspot ya sauzi, baada ya kupata hiyo pasi niliona tayr malengo yangu yanaenda kutimia, maana Mimi ndoto yangu haikuwa kuishi sauzi,Toka Niko mdogo nawaza Safari ya mtoni,..
Nitaendelea baadae,Ila wakatisha tamaa pungueni