Maisha yangu na mahusiano

Hivi inakuaje mtu anadai mwanamke fulani alinifanya nikanunua hiki na hiki Mara yule mwanamke wakati niko nae sikufanya maendeleo yoyote .
Kwamba mnaishi ishi tu bila malengo.?
 
Hivi inakuaje mtu anadai mwanamke fulani alinifanya nikanunua hiki na hiki Mara yule mwanamke wakati niko nae sikufanya maendeleo yoyote .
Kwamba mnaishi ishi tu bila malengo.?
Kikubwa jua tu sisi binadamu tunatofautiana kimalengo,kifikra,kimadili ,kimitazamo na hata mazingira yanayotuzunguka yanatofautiana nafikiri nimekujibu.
 
Mimi mmoja tuu ndo nimumuoa uyo uyo na ninawatoto nae 6 plus wa kwake nilie mkuta nae jumla tuna 7....tulikutana 2001...
 
Mimi mmoja tuu ndo nimumuoa uyo uyo na ninawatoto nae 6 plus wa kwake nilie mkuta nae jumla tuna 7....tulikutana 2001...
Big up my fellow ...huyo huyo wakujifundishia na kumliki moja kwa moja ....Safi Sana.
 
Mimi Nina 23 ila nimekula demu mmoja tu tena ni singo maza nilikua Nampa zawad mtt wake Mara kwa mara kumbe dem akaanza kunielewa akajilengesha mwenyewe sahiv simtak tena
 
Mimi Nina 23 ila nimekula demu mmoja tu tena ni singo maza nilikua Nampa zawad mtt wake Mara kwa mara kumbe dem akaanza kunielewa akajilengesha mwenyewe sahiv simtak tena
Mchukue tu mkuu utole upweke wa usingo mother.
 
Mimi Mpaka Sasa Kwenye Umri Wangu Wa Miaka 28 , Nicha Sex Na Wanawake 5 , Demu Wa Kwanza Kuruka Ilikuwa 2016 Baada Ya Wanangu Na Mafande Tuliokuwa Nao Tunaish Deti Kunihita Mzee Wa Punyeto
 
Mimi huwa niko selective sana ...! Hali iliyopelekea kuwa na list fupi zaidii
 
Wengine tunaona aibu. Maana sio kwa list ndefu tulizonazo.
Najuta kuwa na list ndefu, mungu anisamehe tu kwa kweli.
 
Nikiwa na umri huo nlikuwana list kama yako and 29 nlioa. Yaliyonikuta ni kunyimwa papuch. Idadi ya sasani zaidi ya 80
 
Hyo list kaka, Tanzania ya uchumi wa Kati.
 
List fupi sana,mimi najaza mwendokasi 2 au 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…