Maisha yanabadilika kila wakati

ramadhani kimweri

Senior Member
Apr 22, 2016
165
169
Ndege anapokua hai huwa anakula sana wadudu, lakini anapokufa wadudu humla yeye' maisha yanabadilika kila wakati, kwa hiyo usimdharau wala kumuumiza mtu yoyote katika maisha yako.

Unaweza ukawa imara sana, lakini kumbuka dunia ni imara kuliko wewe, mti mmoja unaweza ukatengeneza mamilion ya njiti za kibiriti lakini muda ukifika njiti moja tu ya kibiriti inaweza ikachoma msitu mzima.

Hivyo kuwa mwema kwa kila mtu, isipokua usimpe mtu siri ya mafanikio yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom