Maisha ya wairani kabla haijawa jamuhuri ya kiislam

Maisha ya wairani kabla haijawa jamuhuri ya kiislam

Wazolee

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2018
Posts
4,141
Reaction score
4,850
Kipindi Irani inaongozwa na vibaraka wa Marekani ndio ilikuwa hivyo hapo Sasa ndio Marekani ilikuwa inajisikia raha maana walikuwa na nafasi ya kufanya biashara zao za
Pombe
Madawa ya kulevya
Umalaya
Ushoga
Na kuiba rasilimali za Irani

Watu wenye akili kama akina Komenei wakasema hili haliwezekani hi ni nchi ya kiislam inatakiwa iwe na maadili
 

Attachments

  • Screenshot_20260317-084424.jpg
    Screenshot_20260317-084424.jpg
    146.8 KB · Views: 13
  • Screenshot_20260317-084358.jpg
    Screenshot_20260317-084358.jpg
    138.8 KB · Views: 19
  • Screenshot_20260317-084329.jpg
    Screenshot_20260317-084329.jpg
    126.4 KB · Views: 14
Kama hawaui watu si ndiyo maadili mazuri? Watu wanataka uhuru, si udikteta kubana uhuru wao wa kula bata. Siku zote binadamu huzaliwa akiwa huru
 
Back
Top Bottom