Maisha ya uswahilini ovyo sana!!!

ndandawamalenja

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
548
Reaction score
664
Eti Mi nimemtembelea demu wangu, siaonana nae siku toka amehamia makazi mapya. Wapangaji wenzie wamekaa coridoni karibu na mlango wake ili ninapotoka wanione. Sijui ili iweje? Kama akitaka wanifahamu si atawaita awatambulishe bwana! Sasa tumepiga story weee, nyeg* zikapanda tukaanza mambo yetu. Kama dakika kumi na tano au 20 hivi napiga mzigo nao wapo kimyaaaaaa wanatusikiliza. Halafu nikasikia wanacheka he he heeeeee ukiona manyoya? Mwingine kajibu ujue kaliwa!!! Halafu na yeye akasema ukiona kimya? Nikachungulia dirishani yule Mwenzie anajibu kwa ishara inayoashiria anasema "ujue analiwa uroda". Wamenikata stim kishenzi. Kmayo zao. Nimeondoka na nyeg* zangu.
 
kama kweli unampenda na unakereka na hiyo hali uhame mhamishe huko uswazi mpangie maeneo yenye unafuu kidogo ambako watu wako busy na mambo yao. huyo demu wako nae aliwatangazia kuwa unaenda? mwambie aache kuwa rafiki wa hao mashosti vinginevyo uswazi huko watamtafutia bwana mwingine sasa hv lengo kuwaharibieni tuu. Pole kukatishwa genye au muwe mnadinyana kwako au nawe unakaa kwa wazazi?
 
Hahahaaa...... Hivi ni vituko uswahilini lol!
Muamishe mwaya huko hakufai.
 
mwanzoni alikua anakaa wapi......?
kama uumeshajua tabia ya wapangaji wake basi muwe mnagegedana kwenye geto lako......
 
wewe kidume bwana unaona aibu gani tena na kumaindi kitu kidogo kwani wewe unakaa hapo? mpaka demu wako kakubali kugegedwa hapo maana yake yupo okay kufanya hivyo na hajali hao wambea...endelea na kazi ya kugegeda kijana....kwanza sii ajabu mwenzio anafurahi kuonyesha wenzie kuwa anagegedwa
 
mwanzoni alikua anakaa wapi......?
kama uumeshajua tabia ya wapangaji wake basi muwe mnagegedana kwenye geto lako......

acha kutoa usahuri yakinifu kwenye mada ya kutunga! unajua mimi nakutegemea sana kwa ushauri ujue!
 
ona majangaaaa...ona majangaaa!! ....kulala mlale nyiee ,kusema waseme walee, nyege upoteze weweee...ona majangaa!
 
kuwa makini, inawezekana huyo demu wako anawapanga, so hawo wanoko wanataka kujUa na wewe ni "take away' Kinachofanyika hapo ni hao wapambe wanahesabu idadi ya wajaleo, waondoka leo kwa demu wako, Wanasikilizia ngoma ikipigwa wanahesabu , isipopigwa labda ndugu. Tunaishi uswazi tunayaona sana tu, demu anabadilisha ka nguo, mara huyu shemeji,kaka, nilisoma naye nk. kumbe TAKE AWAY. BE CAREFULL
 


afu we juzi si ulikuja na uzi ukisema una nyumba ndogo unaihurumia kuiacha baada ya kupatana na wife? ndio hiyo nyumba ndogo yenywe au nyingine? nyumba ndogo ya hivyo unaihurumiaje kuiacha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…