Maisha ya ukapela sitaki tena

Maisha ya ukapela sitaki tena

Mtoka Mbali

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2010
Posts
237
Reaction score
26
Niko njiani naelekea kwa wazazi wa mtarajiwa wangu. Kiroho kinanidunda kinoma, sijuwi nitaeleweka. Wana jamvi niombeeni.
 
tukuombee roho isikudunde! sasa ikisimama si utakufa jamaani...mi hayo maombi sifanyi ng'ooo!
 
Nenda,ukikataliwa njoo kwangu.
BTW kidume anatakiwa awe jasiri na si hofu wala woga
la sivyo utakosa vyote.
 
Niko njiani naelekea kwa wazazi wa mtarajiwa wangu. Kiroho kinanidunda kinoma, sijuwi nitaeleweka. Wana jamvi niombeeni.

I hope mpaka sasa umeshaeleweka! Hongera sana kwa kuamua kuoa ili uache Yale mambo yako?!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wish u the best mkuu nami muda si mrefu next year haya mambo ya ukapera ntaachana nayo,nimechoka kula chips,soda na mkate,ntori wa kununua eehh hapana nimechoka
 
Uoga wa nn? Haujatengeneza mazingira ya kukubaliwa nn? Jiangushe 'ndani ya 18' kaka lazima wakubaliane na ww othawz itakula kwao

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hata wakikukataa Usijali dogo, ma-single ladies/girls wamejaa hapo JF kibao. Tena walioenda shule.
 
wanataka aliye na degree ndo kigezo cha kwanza
hili nalo limenifanya ni pige kimya nisitafutie mchuchu pane hizi. Sie wengie tulikua tunaendaga kuwinda sungura na digidgi wakati wa masomo hizo degree tunazitoa wapi? Labda degree za temperature (i mean 36 degree centigrade)
 
Niko njiani naelekea kwa wazazi wa mtarajiwa wangu. Kiroho kinanidunda kinoma, sijuwi nitaeleweka. Wana jamvi niombeeni.

Kiroho kinakudunda kwa sababu zipi? Ulimpa mimba huyo mtarajiwa? Au unataka kuchumbia mwanafunzi? Au imani zenu za kidini ni tofauti? au umri wenu bado mdogo mno kuishi kama mke na mume? Kama majibu ni "NO" huna sababu ya kuogopa chochote maana kila mzazi hufurahi kusikia mwanae anaolewa kwa kufuata taratibu zilizokubalika.
 
Back
Top Bottom