Maisha ya tz 2010--2015

lakini wengine wacha wakome mana mwisho wa siku tena utakuta kavaa kilemba cha kijani na t-shirt huku akipigwa na jua kuwasikiliza wajanja wa maneno
 
<br />
<br />
Ipo katika ILANI ya uchaguzi ya mwaka 2005, kipengele cha Ajira 1,000,000 za mheshimiwa!
 
Halafu hapo akifikisha mzigo utaskia "Punguza"
 
Na hawa hawa ndo wanasema...nambari waniiii eehhh nambari wani ni ccm???? Jamani chonde chonde walalahoi hamkeni kumekucha
 
JK fanya mambo "maisha bora" kama ya sasa yawe "bora" zaidi
 
Mimi hapo naona mjasiriamali, enviromentalits, a self-driven go-getter. Kulalamika bila wewe mwenyewe kujituma hakuwezi kuleta mabadiliko. Hivi hata kama hizo ajira 1m za JK zingekuwa za kweli mlitegemea zitaletwa zimefungwa kwenye gift box huko vijiweni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…