Wadau habari zenu
Jaman kama mjuavyo Bongo pashakuwa pagumu.. Sasa naomba mwenye kujua Maisha kwa ujumla ya South Africa anijuze..
Nataka kujua maisha ya huko kwa ujumla... Je nafasi z kazi zipo? Mm n mtanzania wa hali ya kawaida.. Je Nahitajika kuwa na kama shilingi ngapi za kuja kuanzia maisha huko?
Kama mnafahamu mafmbo mengine zaid tujuzane zaid..