Maisha ya Pierre 'Likwidi'

Jamaa nilimuotea akihojiwa BBC ikibidi nisikilize anasema nini pale mtangazaji aliposema emu jitambulisha kwa vionjo vyako nikasikia ' sei yeeeeeeeeeeh... mamaa nakufa... liquid hatari.. firee.... ndipo nikagundua umaarufu hauna formular
 
Kajamaa upstairs zitakuwa hasi na chanya zimeingiliana, kuna siku anahojiwa akaulizwa umeoa akajibu bado umri ukifika nitaoa. Mtangazaji akamuuliza unaumri gani akasema kama 45 hivi nakumbuka, hapo nika'conclude hayupo sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…