Maisha ya Norway yapoje?


Kweli kabisa mkuu hawana shobo afu wale wa kule wanawezana wao kwa wao labda upate jimama (38+) lililochoka ila videm vidogo vidogo (18 - 30) ni issue.

In short wanapendana wao kwa wao
 
Kwani huko jela za Norway wanatoa papuchi na mitulinga

Maana kwangu mimi vitu hivyo viwili ndio vinanifanya nijione huru na mwenye raha hapa duniani
Hahahaha huko kuna siku wanapewa muda unaenda kuktana na mke wako au mchepuko mkuu
 
Labda bongo itakuja kufikia maisha ya Norway na Europe kwa ujumla siku ya kiama. hivi bongo si mpaka leo hii bungeni na nchi kwa ujumla wanajadiliana kuhusu upungufu wa sukari na mafuta ya kupikia?? europe vitu kama hivyo wameshavisahau kabisa katika maisha yao yaani ni vitu vipo sanaa havisumbui ubongo wao na hata maji ya kunywa na kuoga na umeme .. Wewe huna hata sababu ya uende Norway au sijui nini , hio ni fursa ichangamkie wenzenu wanazama kila siku ili wafike tu nchi za ahadi.
 
Ni nchi ya democrasia, polisi haisaidii ćhama, uchaguzi ni huru, uchumi unamgusa kila mtu. Hakuna vyeti feki
 
dah wwgumu kumbe
 
dah wwgumu kumbe
 
Kweli kabisa mkuu hawana shobo afu wale wa kule wanawezana wao kwa wao labda upate jimama (38+) lililochoka ila videm vidogo vidogo (18 - 30) ni issue.

In short wanapendana wao kwa wao

Tru dat. Binafsi niliamua kuacha shobo na wasichana wa kizungu kule. Kutomba hadi nije livu Bongo. Halafu anakuja mtu anasema upäte makaratasi kwa kuoa Mnorway ndani ya miezi 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…