Hapa kwetu hakuna vya kuandika. Kila kitu kiko sawa. Makala ndeefu kuhusu Naijeria sisi inatusaidia nini. Ungeandika haya kuhusu serikali yetu ya hovyo ingesaidia kidogo
Ukweli uswahilini kuzuri kwa namna yake ila siku ukikaa sehemu iliyotulia utaona furaha na nafsi na akili kutulia.
Mazingira yakiyotulia yana umuhimu wake sana
Aweke reference umesikia hio ni scientific writing usipende kuchukulia kila kitu serious yeye kupitia observation yake ameona aandike kile alichokiona usipende kuwa complicated
Ukweli uswahilini kuzuri kwa namna yake ila siku ukikaa sehemu iliyotulia utaona furaha na nafsi na akili kutulia.
Mazingira yakiyotulia yana umuhimu wake sana