Mungu Mweusi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 1,474
- 1,088
Kwahiyo pesa usisumbue madarali hapa mjini we nenda kisesa au Buhongwa au Ngombe kule utapata kivyepesi
Kuanzia 120000-50
Kwanza karibu rocky city.
Sasa hiyo hela kwa nyumba nadhani unaweza kupata nyumba ya chumba na sebure 'self' ila itakuwa maeneo ya nje kidogo na mji.
Jaribu kutafuta maeneo ya Igoma, Nyakato, Nyasaka, Kilimahewa, Pasiansi, Mkuyuni au Nyegezi.
Usihofu nyumba utapata tu ila inataka uvumilivu kidogo.
Wadau mimi ni mtumishi wa umma sasa nimehamishiwa jiji la mwanza nina mke na mtoto na mfanyakazi. Ishu ni kwamba ni sehemu gani naweza kupata nyumba au appartiment kwa bei nzuri na gharama imekaaje kama napanga nyumba nzima.